Rais Dkt.Mwinyi afanya mazungumzo na wahariri, waandishi wa habari nchini


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari mbalimbali wa magazeti,runinga na redio nchini, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar Desemba 11,2021.(Picha zote na Ikulu).
Wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akijibu maswali wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari na wahariri, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Mwandishi wa Islam Seif akiuliza swali wakati wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news