🔴 LIVE:Hotuba ya Rais Dkt.Mwinyi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar;
"Tunamshukuru Mwenyezi Mtukufu, Mwingi wa Rehma kwa kutujaalia uhai na afya njema na kutuwezesha kufikia siku ya leo, tukielekea katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari, 12 mwaka 1964 yatakayofanyika kesho tarehe 12 Januari, 2022 katika uwanja wa Amani.

Post a Comment

0 Comments