Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzania (TAWOMA) kufanyika Januari 24,2022 jijini Dodoma


Wakiongozwa na kauli mbiu ya "Mazingira Bora Migodini kwa Maendeleo ya Wanawake na Uchumi wa Taifa". Imebainika kuwa, wanawake wanaweza kujiunga katika Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzania (TAWOMA) ili kujiongezea kipato chao na Taifa kwa ujumla,kwani uchimbaji wa madini ni moja ya ajira inayopatikana nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news