MUHIMU:Rais Dkt.Mwinyi ana jambo kubwa leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo kuanzia saa 3:00 za usiku atatoa Hotuba ya kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).


Post a Comment

0 Comments