Jaji Mwambegele akabidhiwa ofisi Tume ya Uchaguzi nchini

NA MWANDISHI MAALUM

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jacobs Casthom Mwambegele leo 11 Januari, 2022 amekabidhiwa ofisi na Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Jaji Rufaa (Mst) Mhe. Semistocles Kaijage.
Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Wajumbe, Menejimenti na Watumishi wa Tume.

Post a Comment

0 Comments