Rais Samia afanya uteuzi muda huu

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Januari 9,2022 amefanya uteuzi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu, Mheshimiwa Rais Samia amemteua Bw.Edward Gerald Nyamanga kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, upande wa Mazingira.

Post a Comment

0 Comments