REA:Heri ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

UONGOZI wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments