St.Francis Girls yaonyesha jeuri matokeo Kidato cha Pili, hawa ndiyo wanafunzi na shule 10 bora 2021/2022

NA GODFREY NNKO

BARAZA la Mitihani (NECTA) pia limetangaza limetangazamatokeo ya upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne na Kidato cha Pili 2021Tazama matokeo yote hapa>>>

Matokeo hayo yametangazwa leo Januari 15,2022 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Charles Msonde jijini Dar es Salaam.
Shule 10 bora kwenye upimaji wa Kidato cha Pili kwa mujibu wa NECTA

1. St. Francis Girls - Mkoa wa Mbeya

2. Kemebos - Kagera

3. Graiyaki - Mara

4. Canossa - Dar es salaam

5. Tengeru Boys - Arusha

6. St. Monica Moshono Girls - Arusha 

7. St. Augustine Tagaste - Dar es salaam 

8. Centennial Christian - Pwani

9. Bethel sabs Girls - Iringa 

10. Bright Future Girls - Dar es salaam. 


Watahiniwa 10 bora kwenye upimaji wa Wanafunzi wa kidato cha pili

1. Geovin Macha - Shule ya St.Jude Arusha

2. Moses Masome - Heritage Pwani

3. Pius Tairo - Tengeru Arusha

4. Henry Shelembi -St.Jude Arusha

5. Shilanga Malegi - Heritage Pwani

6. Loi Kitundu - Feza Girls Dar es Salaam

7. Joshua Leo - Tengeru Boys Arusha

8. Brian Chille - Marian Mkoa wa Pwani

9. Cornel Karoli - St.Jude Arusha

10. Elizabeth Msengi - St. Monica Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news