TANESCO YATOA TAARIFA YA KATIZO LA DHARURA MWANZA, MARA NA SIMIYU

Tunawataarifu wateja wetu wa Mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kuwa, kutakuwa na katizo la umeme la dharura leo Januari 16, 2022 kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni.
SABABU Matengenezo ya dharura kwenye njia ya kusafirisha umeme kutoka Mwanza kwenda Musoma kupitia Bunda, tunabadilisha waya wa kitenganishi cha umeme (isolator) kwenye njia hiyo ya umeme.

Tunawaomba radhi wateja wetu kwa usumbufu unaojitokeza. 

Mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetutz, 

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetutz


IMETOLEWA NA;

Ofisi ya Uhusiano,

TANESCO MAKAO MAKUU.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news