Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 19, 2022

NA GODFREY NNKO

EURO ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2602.054 na kuuzwa kwa shilingi 2628.99.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 19, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3106.92 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3139.14.
Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 360.0074 huku ikiuzwa kwa shilingi 363.544 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.95 na kuuzwa kwa shilingi 20.145.

Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.654.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 148.28 na kuuzwa kwa shilingi 149.69 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.16 na kuuzwa kwa shilingi 20.33.

Pia kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania, Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206.

Dola ya Marekani nchini inabadilishwa kwa Shilingi 2286.515 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.38.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news