Watumishi:Hongera Mheshimiwa Jenister, Mheshimiwa Ndejembi, Dkt.Ndumbaro na Bw. Xavier Daudi kwa kuaminiwa na Mheshimiwa Rais

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa pichani chini akitoa neno la shukrani kabla ya kukabidhi ofisi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama leo jijini Dodoma. Wengine ni Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Post a Comment

0 Comments