Magazeti leo Septemba 14,2026

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’, amezindua rasmi Mashindano ya Aweso Cup katika Kijiji cha Sakura wilayani Pangani huku akizitaka klabu kubwa nchini pamoja na wadau wa soka, kufuatilia mashindano hayo kwa lengo la kuibua vipaji vipya.
Mwinjuma amesema hayo katika Kijiji cha Sakura, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wakati akizindua rasmi Mashindano ya Kombe la Aweso, yanayoshirikisha jumla ya timu 80 kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here