Benki ya Exim, MasterCard zaingia makubaliano Kuboresha Malipo ya Kidijitali


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (Kulia walioketi) na Rais wa Mastercard Kanda ya Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara Bw. Mark Elliot (Kushoto walioketi) wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa miaka 5 ili kuendeleza ubunifu kupitia njia ya malipo ya kidijitali nchini ikiwa pia ni jitihada za benki hiyo za kutoa ufumbuzi wa hali ya juu wa kibenki kwa wateja wake ili kwenda sambamba na mabadiliko ya haraka ambayo sekta ya huduma za kifedha inashuhudia. Hafla ya utiaji saini huo ilifanyika Makao Makuu ya Benki ya Exim jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikishuhdiwa na wawakilishi kutoka pande zote mbili.

Post a Comment

0 Comments