Rais Samia ateta na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino leo Februari 9, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya mazungumzo yao leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina pamoja na Ujumbe alioambatana nao leo. (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments