UWT Simanjiro wampokea Mbunge wa Viti Maalum mkoani Manyara, Regina Ndege kwa shangwe


Wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakimpokea kwa shangwe Mbunge wa Viti Maalum mkoani Manyara, Regina Ndege kwa ajili ya kikao cha baraza la UWT, huku akivishwa bangili na mmoja wa mama wa jamii ya kimasai kama ishara ya upendo kwa Mbunge wao. (Picha na Mary Margwe).
Wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakimpokea kwa shangwe Mbunge wa Viti Maalum mkoani Manyara, Regina Ndege kwa ajili ya kikao cha baraza la UWT. (Picha na Mary Margwe).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news