Bagamoyo yawaita wafuatao kwenye mafunzo kwa vitendo,ni waliopita kwenye usaili wa Anuani za Makazi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani inapenda kuwajulisha wafuatao hapa chini kuwa wanapaswa kufika halmashauri kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa ajili ya kukusanya taarifa za anuani za makazi.

Orodha hii inatokana na majina ya wale ambao walifanikiwa kupita kwenye usaili wa anuani za makazi kama ifuatavyo;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news