BREAKING NEWS:Orodha ya majina 168 ya Makatibu wa UVCCM wilaya walioteuliwa

*Uteuzi huu unajumuisha sura mpya, waliobadilishwa vituo vya kazi

NA GODFREY NNKO

SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa katika kikao chake kilichofanyika Machi 30,2022 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete (Convention) jijini Dodoma imefanya uteuzi wa Makatibu wa UVCCM wilaya na kufanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya makatibu wa UVCCM.

Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Bw.Kenani Kihongosi.

"Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi inapenda kuwajulisha wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi na wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwamba, Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake kilichofanyika tarehe 30/03/2022, Ukumbi wa Jakaya Kikwete (Convention) jijini Dodoma, kimefanya uteuzi wa makatibu wa UVCCM wilaya kama ifuatavyo;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news