Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Dkt. Ally Possi kuhusu eneo maalum la kufanyia usaili kwa madereva wanaoomba leseni za kuendesha magari ya biashara, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi za mamlaka jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Dkt.Ally Possi, kuhusu eneo maalum la kufanyia usaili kwa madereva wanaoomba leseni za kuendesha magari ya biashara, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea ofisi za mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na WUU).