Kamati ya Bunge yaipongeza Ofisi ya Rais-UTUMISHI kwa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wameipongeza Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa kufanikiwa kusimamia vizuri maslahi ya watumishi wa umma, utekelezaji wa Mpango wa TASAF na maboresho ya mchakato wa ajira Serikalini;


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news