Kamati ya Bunge yapokea na kujadili taarifa ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 Jijini Dodoma.(Picha zote na OWM-Sera, Bunge na Uratibu).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe.Joseph Tadayo akichangia wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Agnes Hokororo akichangia wakati wa kikao hicho.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria alipowasilisha taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. John Jingu akieleza jambo wakati wa Uwasilishaji wa taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Bw. Kaspar Mmuya akifafanua jambo wakati wa Uwasilishaji wa taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Mipango na Bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Bw. Eleuter Kihwele akitoa ufafanuzi wa hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria alipowasilisha taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 ya Ofisi hiyo katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga (wa kwanza kushoto) akiongoza kikao cha kamati hiyo cha Kupokea na Kujadili Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23 ya Ofisi ya Waziri Mkuu katika Ofisi za Bunge Machi 22, 2022 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news