Orodha ya wizara, taasisi, mashirika na wadau walioungana na Rais Samia, Watanzania katika Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Rais hayati Dkt.Magufuli


"Mwaka mmoja tangu kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Magufuli. Namshukuru Mwenyezi Mungu nchi yetu ipo imara na kazi inaendelea. Tuendelee kumuenzi kwa kuyaishi mema aliyoyatenda kwa nchi yetu na tumuombee aendelee kupumzika kwa amani,"anaandika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.


Post a Comment

0 Comments