Orodha ya wizara, taasisi, mashirika na wadau waliotuma salamu za hongera kwa Rais Samia, mwaka mmoja wa uongozi wake madarakani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Machi 19, 2022 anatimiza mwaka mmoja wa uongozi wake madarakani tangu alipoapishwa Machi 19, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, mwaka mmoja wa uongozi wake unatajwa kuleta mageuzi makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi, kuimarisha uhusiano wa Kimataifa, utamaduni, sanaa, michezo, habari, mawasiliano na mengineyo mengi.

Zifuatazo hapa chini ni wizara, mashirika, taasisi na wadau mbalimbali waliotuma salamu za hongera kwa Mheshimiwa Rais Samia;
Post a Comment

0 Comments