Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Machi 31,2022 amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo George Simbachawene, Waziri wa Katiba na Sheria amehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera na Uratibu.

Naye Damas Ndumbaro, Waziri wa Maliasili na Utalii amehamishiwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Balozi Dkt.Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera na Uratibu) amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii:

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news