Rais Samia azifariji familia za marubani waliopotea kwenye ajali ya ndege Comoro


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar, Dkt. Abdallah Sadala Mabodi na familia yake, alipomtembelea nyumbani kwake Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Machi 9, 2022 kwa ajili ya kumfariji kutokana na kupotelewa na mtoto wake kwenye ajali ya ndege.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Familia ya Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Ahmed Nassor Mazrui alipowatembelea nyumbani kwao Mbweni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja tarehe 9 Machi, 2022 kwa ajili ya kuwafariji kutokana na kupotelewa na mtoto wao kwenye ajali ya ndege.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Familia ya Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ahmed Nassor Mazrui alipowatembelea nyumbani kwao Mbweni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja tarehe 9 Machi, 2022 kwa ajili ya kuwafariji kutokana na kupotelewa na Mtoto wao kwenye ajali ya Ndege.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar, Dkt. Abdallah Sadala Mabodi na familia yake, alipomtembelea nyumbani kwake Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja tarehe 9 Machi, 2022 kwa ajili ya kumfariji kutokana na kupotelewa na Mtoto wake kwenye ajali ya Ndege. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news