RC Mongella atembelea banda la TGNP Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella akiwa kwenye banda la TGNP kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Mheshimiwa Mongella ameipongeza TGNP kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta usawa wa kijinsia nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella (kulia) akiwa katika banda la TGNP kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Wadau wakiwa katika banda la TGNP kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. (Picha zote na Kadama Malunde-Malunde 1 blog).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news