NA MWANDISHI DIRAMAKINI
MAMLAKA ya Mapato Tanzania imeongeza muda wa kufaili Ritani na kulipa kodi ya PAYE na SDL hadi Machi 9, 2022.

"Kwa hiyo, wafanyabiashara ambao hawakuweza kufanikiwa kufaili ritani na kufanya malipo hadi leo (Machi 7, 2022) wanashauriwa kutumia muda huu wa nyongeza kukamilisha zoezi hilo,"amefafanua Bw.Kidata kupitia taarifa hiyo.