TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imedhibiti upotevu wa zaidi ya Shilingi milioni 15.3 katika vyama vya msingi vya ushirika AMCOSS mkoani humo.
Akizungumza mkoani Mtwara jana Machi 3, 2026, Kaimu Mkuu wa TAKUKURU, mkoani Mtwara, Mwanakombo Rajab amesema upotevu huo umeokolewa katika Wilaya ya Masasi, Tandahimba na Newala mkoani humo katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba,2025.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo























