Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 17,2021

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 622.73 na kuuzwa kwa shilingi 628.80 huku Dola ya Australia (AUD) ikinululiwa kwa shilingi 1658.3252 na kuuzwa kwa shilingi 1676.1.Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 17,2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pia kwa mujibu wa BoT leo dola ya Marekani nchini inanunuliwa kwa Shilingi 2287.03 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.9.
Aidha, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 2996.47 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3027.6 huku Euro ya Ulaya ikinunuliwa kwa shilingi 2520.31 na kuuzwa kwa shilingi 2545.972.

Wakati huo huo Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 360.134 na kuuzwa kwa shilingi 363.7 huku Randi ya Afrika Kusini ikinunuliwa kwa shilingi 152.4321 na kuuzwa kwa shilingi 153.91.
Kwa upande wa shilingi ya Kenya inanunuliwa kwa ashilingi 20.02 na kuuzwa kwa shilingi 20.19 huku Franka ya Rwanda ikinunuliwa kwa shilingi 2.234 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Shilingi ya Uganda inanunuliwa kwa shilingi 0.614 na kuuzwa kwa shilingi 0.644 huku Franka ya Burundi ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Kwa upande wa Krona ya Uswidi (DKK) inanunuliwa kwa shilingi 338.8 na kuuzwa kwa shilingi 342.1 huku sarafu ya Markka ya Finland (FIM) ikinunuliwa kwa shilingi 339.644 na kuuzwa kwa shilingi 342.65.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news