Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 31, 2022

*Dola ya Zimbabwe inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham (AED) ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inanunuliwa kwa shilingi 622.74 na kuuzwa kwa shilingi 628.8 ambapo wastani sokoni ni shilingi 625.8
Aidha,sarafu ya Austria ya Schilling (ATS) inanunuliwa kwa shilingi 146.8 na kuuzwa kwa shilingi 148.1 huku wastani sokoni ikiwa ni shilingi 147.4.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 31, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kwa upande wa Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1719.43 na kuuzwa kwa shilingi 1736.85 ambapo wastani ni shilingi 1728.14.

Wakati huo huo, kwa mujibu wa BoT leo Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.189 na kuuzwa kwa shilingi 2.206 huku wastani ikiwa ni shilingi 2.198.

Nayo Pula ya Botswana (BWP) inanunuliwa kwa shilingi 200.12 na kuuzwa kwa shilingi 202.81 huku wastani ikiwa ni shilingi 201.47.

Kwa mujibu wa Benki Kuu, dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1835.54 na kuuzwa kwa shilingi 1853.74 ambapo wastani ni shilingi 1844.64.
Aidha,Franka ya Ubeligiji (BEF) inanunuliwa kwa shilingi 50.06 na kuuzwa kwa shilingi 50.50 huku wastani ikiwa ni shilingi 50.28.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news