Waziri Mbarawa aridhishwa na kasi ya ujenzi Bwawa la JNHPP-MW2115

Muonekano wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani. (Picha zote na WUU).
Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake (hawapo pichani), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia) anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji mkoani Pwani.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115).
Baadhi ya wahandisi wanaosimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya mradi huo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news