Katibu Mkuu CWT awaita 65 katika usaili nafasi za Katibu Muhtasi na Mkaguzi wa Ndani

NA DIRAMAKINI

KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Deus G.Seif anawatangazia wote walioomba nafasi ya kukitumikia Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa nafasi za Katibu Muhtasi na Mkaguzi wa Ndani (Internal Auditor) kuwa, usaili utafanyika siku ya Ijumaa ya Mei 6, 2022 kuanzia saa mbili kamili asubuhi katika Ukumbi wa Royal Village Hotel jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Deus G.Seif.

MUHIMU

1:Kila msailiwa anapaswa kwenda na vyeti halisi vya kitaaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa.

2:Gharama za usafiri, chakula, malazi zitakuwa juu ya msailiwa.

Yafuatayo hapa chini ndiyo majina ya waombaji nafasi hizo ambao wanapaswa kufika tarehe tajwa kama ifuatavyo;

Post a Comment

2 Comments

  1. Kwa hiyo watatuita kwa wakati mwingine au hakuna kabisa

    ReplyDelete
  2. We mungu tuone na ss ambayo barua zetu hazionagwi na mabos

    ReplyDelete