Rais Samia akutana na Balozi wa Marekani nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Donald Wright mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Donald Wright mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Donald Wright mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Aprili, 2022.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news