Rais Samia ateta na CEO wa Woodrow Wilson International Center

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center, Balozi Mark Green mara baada ya kuwasili katika Ofisi za taasisi hiyo jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Mdahalo uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mdahalo katika Ofisi za taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Mkutano uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news