Ratiba ya uzinduzi wa Filamu ya Utalii (Tanzania Royal Tour), hizi ni faida chache
Faida za Royal Tour ni pamoja na kukuza utalii kwa kutangaza nchi Kimataifa, kuongeza pato la Taifa, hivyo kuimarisha uchumi.

Faida nyingine ni kuongeza fursa za ajira kwenye Sekta ya Utalii na sekta mbalimbali za uwekezaji, ulinzi wa rasilimali zetu, kubadilisha mtazamo wa baadhi ya alama za kihistoria za Tanzania, kukuza na kuenzi utamaduni wetu, hizo ni kwa uchache. Mambo mazuri yanakuja kupitia Royal Tour;

Post a Comment

0 Comments