Spika Dkt.Tukia aongoza wabunge kuaga mwili wa mwenzao aliyefariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), ameongoza Waheshimiwa Wabunge katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments