Spika Dkt.Tulia ateta na uongozi wa Shirika la Friedrich Erbert StiftungSpika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Friedrich Erbert Stiftung,Bi.Elizabeth Bolrich pamoja na Afisa Miradi wa shirika hilo,Bi.Anna Mbise ofisini kwake bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022.

Post a Comment

0 Comments