VIDEO MPYA:Wewe ni Bwana kutoka kwa Risandi Laizer

NA DIRAMAKINI

MWIMBAJI wa nyimbo za injili kutoka jijini Arusha, Bw. Risandi Laizer anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya wa injili unaoitwa Wewe ni Bwana.
Kwa maswali, maoni au ushauri unaweza kuwasiliana na Risandi Laizer kwa simu namba 0766200459 au barua pepe rlaizer.tz108@gmail.coma

"Nakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, share na wengine na Mungu atakubariki sana. Pia amini Mungu atakuvusha katika yote unayopitia,"anasema Risandi Laizer.

Post a Comment

0 Comments