Wadau:Kwa kasi hii, tutarajie makubwa Sekta ya Kilimo nchini
"Kuna mabadiliko mbalimbali ambayo yamekuwa yakifanyika katika sekta ya kilimo, ambayo yamechochea kukua kwa masoko yetu na kuwasaidia wakulima,"anasema Deo Shayo ambaye ni Mchumi Mwandamizi kutoka TANTRADE.

Post a Comment

0 Comments