Watanzania waonesha upendo mkubwa kwa Rais Samia, tazama video kadhaa zikionesha mapokezi yake nchini Marekani

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi, watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na baadhi ya wawakilishi kutoka nchi za SADC wakimpokea alipowasili jijini Washington - Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi leo.


Post a Comment

0 Comments