🔴LIVE:Waziri Bashungwa akizungumzia kuhusu taarifa ya UKUSANYAJI wa Mapato ya Ndani ya Halmashauri

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na vyombo vya habari kutokea Dodoma kuhusu taarifa ya UKUSANYAJI wa Mapato ya Ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Post a Comment

0 Comments