Makamu wa Rais Dkt.Mpango ashiriki ibada jijini Abu Dhabi (UAE)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu kushiriki Ibada katika Kanisa hilo leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022. Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Sala Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya mazungumzo yaliofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news