Mambo mazuri zaidi yanakuja Sekta ya Miundombinu wasema WASHIRIKI wa Mkutano Maalum wa kumpongeza Rais Samia

NA DIRAMAKINI

"Kuna fedha nyingi zinakuja dola milioni 550 kutokana na uhusiano mzuri na washirika wa maendeleo ambao wanaona kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kutaka kushirikiana naye katika kuleta maendeleo;
Mkutano huu umeratibiwa na Watch Tanzania leo Mei 30, 2022 kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.Umeangazia Pongezi za Tuzo ya Miundombinu kwa Rais Samia na Mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita kwenye kuimarisha Sekta ya Miundombinu.
Mkutano  umerushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV kwa udhamini wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel -Tanzania,

Post a Comment

0 Comments