NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA KUSHIRIKI MKUTANO WA UWEKEZAJI RASILIMALI ZA MADINI, NISHATI NIGERIA

NA DIRAMAKINI

NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa na Watalaam kutoka wizarani wanatarajia kushiriki Mkutano wa Uwekezaji katika Rasilimali za Madini na Nishati utakaofanyika kuanzia tarehe 31 Mei hadi 3 Juni, 2022 nchini Nigeria.
Leo Mei 30, Naibu Waziri Dkt.Kiruswa amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Mhe. Benson Bana ambaye amemweleza kuhusu nia ya Mfanyabiashara mkubwa wa nchini humo, Aliko Dangote kuwekeza katika kiwanda kikubwa cha mbolea nchini.

Post a Comment

0 Comments