Nilisingiziwa nimebaka, lakini nilishinda kesi kiurahisi sana

NA MWANDISHI WETU

JINA langu ni Januli, kijina wa miaka 24, naweza kusema katika maisha yangu yote siwezi kusahau tukio la kusingiziwa kuwa nimebaka na kufunguliwa kesi ya uongo mahakamani.

Kibaya zaidi nilikumbana na mkasa huo kipindi ambacho nina hali mbaya kimaisha, ni kipindi nilichokuwa nahitaji sana msaada kwa hali na mali kwa maana sikuwa na kazi yoyote ya kufanya.

Sote tunakubaliana unapokuwa katika hali mbaya unapambana sana huku na huku ili kupata namna ya kufanikiwa kimaisha maana ukiwa maskini hauthaminiki kabisa.

Sasa alitokea mama mmoja ambaye alikuwa na taasisi ya kukopesha vijana fedha za kufanyia biashara, kumbe yule mama alikuwa anatumia ile fursa kutumikisha sana watu wanaokopa kwake kiujanja.

Nilichukua mkopo wa Shilingi 100,000 na makubaliano yakawa nirejeshe Shilingi 120,000, basi nikaenda kufungua biashara ya kuuza karanga na nikawa kila kipata fedha naenda kukabidhi kwa mtu wake wa kitengo cha malipo.

Cha ajabu nilipomaliza kulipa fedha zile niliambia bado ninadaiwa shilingi 50,000 jambo nililopinga vikali, ikawa vita kubwa hadi ikafikia mahali nikasingiziwa nimembaka binti ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye ile ofisi.
Hiyo kesi ilinisotesha sana mahakamani hadi rafiki yangu Zuberi aliponiambia kuna Daktari wa Mitishamba anaweza kunisaidia, alinipatia namba yake +254 769404965 na kuniambia anaitwa Dr. Kiwanga.

Niliwasiliana naye na kumwambia nataka kushinda kesi hii, alinieleza hilo ni jambo dogo kwake.

Basi kesi iliendelea na mwisho wa siku hukumu ikasomwa na kuonekana sina hatia kama uhalisia ulivyo, namshukuru Dr. Kiwanga kwa huduma yake na sasa nipo huru naendelea na biashara zangu.

Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukuwezesha kushinda bahati nasibu, kukuondolea migogoro ya mashamba, migogoro ya mapenzi, kuikinga biashara yako na kukupa mvuto wa kimapenzi.

Pia Dr. Kiwanga anatibu magonjwa kama presha, kifafa, kisonono, kaswendwe, upungufu wa nguvu za kiume na mengineo, watembelee leo upate suluhu kwa matatizo yanayo kutatiza. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com, pia waweza kumpigia simu kwa namba +254 769404965 au tuma barua pepe kupitia kiwangadoctors@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news