Rais Samia apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Zimbabwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Mei 22,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino jijini Dodoma.(Picha na IKULU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news