Rais Samia ateta na ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi na Taasisi ya Business France

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022. (Picha na Ikulu).
Wajumbe mbalimbali kutoka Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

Post a Comment

0 Comments