Siku nne zaongezwa kuomba ajira za Ofisi ya Rais-TAMISEMI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa ameongeza siku nne kwa waombaji wa Ajira Kada za Elimu na Afya hivyo kwa sasa mwisho wa kuomba ajira hizo ni Mei 8,2022 saa 5:59 usiku na sio Mei 4,2022 kama ilivyotangazwa hapo awali. Soma zaidi hapa>>>

Post a Comment

0 Comments