NA GODFREY NNKO
LEO Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Krona ya Denmark (DEM) ikinunuliwa kwa shilingi 917.3 na kuuzwa kwa shilingi 1042.7.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.6 na kuuzwa kwa shilingi 19.8 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.9 na kuuzwa kwa shilingi 11.6.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 31, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Ubelgiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.12 na kuuzwa kwa shilingi 50.55.


0 Comments