Vodacom Tanzania Foundation watembelea Hspitali ya Mkomaindo wilayani Masasi

Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Devotha Namahala (kulia) akitoa ufafanuzi wa matumizi ya kifaa tiba ‘baby warmer’ na mashine ya oxygen kwa Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald alipotembelea hospitali ya Mkomaindo ili kujionea utendaji kazi wa vifaa vilivyotolewa na taasisi hiyo kwa ajii ya kusaidia matibabu ya watoto njiti hospitalini hapo.
Vifaa vya kisasa vilivyopo katika wodi hospitalini hapo.

Post a Comment

0 Comments