Watumishi Wizara ya Fedha washiriki kwa ufanisi Sherehe za Mei Mosi 2022

Wafanyakazi kutoka Wizara na taasisi mbalimbali wakionesha mabango, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi kwa mwaka 2022. (Picha na Peter Haule-WFM, Dodoma).
Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika maandamano kuelekea viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi kwa mwaka 2022.
Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma.
Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakipita mbele ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments